sasa leo August 30, 2016 kupitia millardayo.com & Ayo TV staa huyo ameipata heshima kwa kueleza single mbili mpya za Diamond alizosikilizishwa ikiwemo ya staa kutokea Marekani, French Montana.
‘Nilipofika tu ofisini kwake kuna vingi sana nimejifunza pia alinionesha bendi yake mpya ambayo ataanza kuzunguka nayo nchi mbalimbali, pili alinisikilizisha nyimbo zake mbili mpya aliyofanya na Wizkida nyingine amefanya collabo na msanii kutoka Marekani French Montana ni kazi nzuri sana’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Belle 9 akieleza collabo mbili mpya za Diamond ikiwemo ya French Montana