Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Lugha ya Kiswahili yapitishwa kuwa lugha rasmi ya Afrika Mashariki

Lugha ya Kiswahili yapitishwa kuwa lugha rasmi ya Afrika Mashariki

| No comment
_90958604_eac_512x288_bbc
_90958604_eac_512x288_bbcBunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, limeripoti kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.
Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho .