Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Fid Q kuachia album yake ‘Kitaaolojia’ mwishoni mwa mwaka

Fid Q kuachia album yake ‘Kitaaolojia’ mwishoni mwa mwaka

| No comment
13774606_1667293583597820_215343024_n

Ni takriban miaka miwili sasa, Fid Q amekuwa akiahidi kutoa album yake Kitaaolojia, lakini sasa huenda akaitimiza mwishoni mwa mwaka.
kiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Fid amedai kuwa Kitaaolojia inaweza kutoka November au December. Hiyo itakuwa ni album ya tatu ya Fid ambaye jina lake halisi ni Fareed Kubanda.
Ameshawahi kutoa album mbili, ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ na ‘Propaganda.’