Diamond Platnumz na Alikiba watachuana mwaka huu kuwania kipengele cha Best Male Eastern Africa kwenye tuzo za All Africa Music [Awards] 2016 za nchini Nigeria.
Waandaji wa tuzo hizo wametoa orodha ya kwanza ya wasanii wanaowania mwaka huu.
Diamond na Kiba wana upinzani pia kutoka kwa Bebe Cool, Eddy Kenzo, Jose Chameleone na Navio wa Uganda. Hata hivyo hakuna msanii wa Tanzania aliyetajwa kwenye kipengele hicho upande wa wanawake.
Tuzo hizo zitatolewa mwezi November jijini Lagos, Nigeria.
Moro Kitaa Blog
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
You are here:
Home
/
MUSIC NEWZ
Diamond na Alikiba kushindania ‘Best Male Artist in Eastern Africa’ tuzo za Afrima 2016
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
.

Popular Posts
-
Mwanamuziki na mbunge nchini Uganda, Bobi Wine amemkejeli rais Yoweri Museveni, kwa kutoa mchango wa dola 26,000 ambazo ni sawa na milioni...
-
MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, watu wanamuona hawezi kudumu na m...