Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / ALIYEDAIWA KUFARIKI DUNIA MIAKA 200 ILIYOPITA, APATIKANA AKIWA HAI

ALIYEDAIWA KUFARIKI DUNIA MIAKA 200 ILIYOPITA, APATIKANA AKIWA HAI

| No comment

Monk-Main-703032

Binadamu anaesadikiwa kufariki zaidi ya miaka 200 iliyopita amepatikana akiwa hai nchini Mongolia katika hali ya kutojiweza au kupooza.Monk-Main-703032

Mzimu huo uliopatikana katika mji wa Songino Khairkhan nchini Mongolia, ulivumbuliwa na mtu aliejulikana kama Dalai Rama na unasadikiwa kuishi miaka ya zamani sana maeneo ya China na India.

Dk Barry Kerzin ndiye alieufanyia uchunguzi mwili huo na kuthibitisha kuwa binadamu huyo aliishi mnamo karne ya nne au ya sita kabla ya kuzaliwa kristo na tangu alipofariki ni zaidi ya miaka 200 imepita.

Wananchi wa eneo hilo wanaamini jambo hilo lina imani za kishirikina ndani yake na wengine wakidai mizimu hiyo huonekana mara kwa mara nchini India