Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / ALIKIBA, DAVIDO, WIZKID WAKUTANISHWA.

ALIKIBA, DAVIDO, WIZKID WAKUTANISHWA.

| No comment
Image result for wizkid

Muziki una wigo mpana, kwa upande wabara la Afrika umeendelea kukua siku hadi siku na kutambulika kimataifia, mfano mzuri ni msanii Alikiba  kuwa msanii wa kwanza kusaini kwenye lebo kubwa Afrika ya Sony Music, lebo ambayo inawasimamia mastaa wakubwa akiwemo Chris Brown.

Image result for alikiba sony

Msanii kutoka nchini Nigeria Wizkid ambae hivi karibuni alikuwa Bongo kwenye shoo ya Fiesta mjini Mwanza, ameajisogeza karibu zaidi na msanii Alikiba, baada ya kutegemewa kusaini kwenye lebo hiyo ambayo inasimamia kazi za wasanii wengi wakubwa.

Image result for wizkid

Msanii Wiz Kid anategemewa kusaini kwenye kampuni ya Sony Music ambayo ndiyo itakuwa ikisimamia kazi zake za muziki,Msanii mwingine kutoka nchini humo ambae yuko chini ya lebo hiyo ni Davido

Image result for davido sony