Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / , KALA JERIMIAH ANAKULETEA WIMBO MPYA UNAOITWA WANA NDOTO

KALA JERIMIAH ANAKULETEA WIMBO MPYA UNAOITWA WANA NDOTO

| No comment
Msanii Kala Jeremiah moja kati ya mazao ya BSS tarehe 26 mwezi wa 7 mwaka 2016 anakuja na kibao kinachoitwa wanaNDOTO,  Katika cover ya promo ya wimbo huo wanaonekana watoto ambao mmoja kati yao Anajulikana  ni mlemavu.Tusubiri dude hilo Jipya kutoka Kwa Kala Jeremiah.

Kala Jeremiah ataachia wimbo huo yani Audio na Video pia,  ambapo Audio imetengenezwa na Zest Mkali na Video imefanywa na PABLO.