Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / NEW VIDEO | Baada ya ‘work’ Rihanna katuletea hii nyingine mpya ‘kiss it better’ na kacheza mwenyewe tu

NEW VIDEO | Baada ya ‘work’ Rihanna katuletea hii nyingine mpya ‘kiss it better’ na kacheza mwenyewe tu

| No comment

Ipokee na hii ‘kiss it better‘ video mpya ya Rihanna ambaye February 20 2016 alitimiza umri wa miaka 28, single yake ambayo imelia sana masikioni na imepita sana kwenye TV zetu ni work ft. Drake aliyoiachia February 22 2016 na imeshika namba 1 wiki hii kwenye chati kubwa ya Billboard.