Mimi nimewahi kutupiwa pesa niliyokuwa
nimemlipa master j kwa ajili ya kurekodi ngoma yangu”mwanangu huna
nidhamu”ilikuwa elfu 15.master j alikuwa amenipangia kwenda kurekodi
j’mosi.lkn ilikuwa kila napoenda ananiambia niko bize njo j’mosi
ijayo.nilienda km j’mosi km 6(yaani wiki 6)bila kurekodi.mwishoe
tulipishana kauli na akanitupia mkwanja wangu.enzi hzo mwaka
2000,masterj alikuwa anawapenda sana 2proud a.k.a mr 2(sugu)na kundi la
diplomatiz(saigon na dollaso), kwanza unit.n.k.
Tabia hii ipo dunia nzima kwa producer kupenda msanii au wasanii flani.sikuwa na kinyongo na master j,coz najua unaweza kukataliwa na producer au lebo flani coz amekuckiliza au wamekuckiliza wakiwa ktk mood mbaya(wackuelewa).au kiwango chako kipo chini.mwanangu huna nidhamu nilifanya beat na maron minje hapo hapo mj rec na vocal nikaenda tmk kwa enrico(sound crafiterz)ndipo ngoma ikatoka,ikahit na mimi nikawa star.mwaka 2001ndipo urafiki na master j ukaanza, mimi nikawa ndiye star wa mj rec.na ndiye producer aliye produce album yote ya amri 10za mungu.(kunguru hafugiki,bongo dukina n.k.).

Singles hit zingine master j ame produce
ni nakupenda tu(iliyonipa tuzo 3),mashaka,sambusa,,n.k.mimi nimewahi
kumkataa mr blue nikiwa na lebo yangu ya dar skendo.mr blue alikuja na
single yake ya blueblue.sikuiona km ni ngoma kali.wakati huo mapenzi
yangu yote yalikuwa kwa dogo hamidu.lkn mr blue hakukata tamaa,alienda
G.RECORDZ na akapokelewa na akatusua na ngoma hiyo.namchompendaee mr
blue hakuonyesha kinyongo kwangu na tuliendelee kuwa pamoja na yeye kuwa
karibu na dogo hamidu mpaka leo.na hakuna msanii mwenye heshima na
anayejitambua km kabaisa.ndio maana mpaka leo yupo kwa hewa.
NAHII TABIA YA VINYONGO KWA UPANDE WA
PILI WANAFANYA SANA HATA MAPRODUCER AMBAO HAWAJATOKA,PALE WANAPOTAKA
KUFANYA KAZ NA STAR NA STAR ASIFANYE NAE.PINDI MAPRODUCER HAWA WAKITOKA
HUWA WANAVINYONGO.OH JAMAA NILIMWITA STUDIO HAKUJA,KWA STAILI HII
HATUTASONGA.
TUZO nilizowahi kushinda na hit
single”nakupenda tu(KTMA 2002 BEST HIP HOP SONG OF THE YEAR.)(TUZO ZA
YOUTH ACTION 2002 NI BEST MALE ARTS OF THE YEAR NA BEST SONG OF THE
YEAR).
by MambaDudubaya