Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / YULE MWANAFUNZI WA UDOM ANAYETESWA NA LULU AAMUA KUTUMA SALAM RASMI (+VIDEO)

YULE MWANAFUNZI WA UDOM ANAYETESWA NA LULU AAMUA KUTUMA SALAM RASMI (+VIDEO)

| No comment

Ndii ni Mwanafunzi wa UDOM anayesomea (Computer Science) pia ana kipaji cha kuigiza na kughani mashahiri matamu!! Muda mrefu sana amekuwa akimkubali na kumpenda mwana Dada Lulu Elizabeth Michael hata jamii inayomzunguka marafiki,walimu,ndugu na familia wanafaham hilo...Amekuwa akitumia Picha za Mwana Dada Lulu kuonyesha upendo na uwepo wa Lulu karibu naye .... Kupitia Clip hii ya Video ambayo ni kweli ameonekana akipata shida toka kwa DADA yake ambaye anawakilisha Jamii ambayo huwaponda watu wanaoonyesha upendo / Kuwapenda Ma star mbalimbali kwa Kazi zao wanazozifanya ...Enjoy the Clip na Don't forget to follow him on instagram @ndii_wa_leo