Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / VideoMPYA: Juma Nature katoa video mpya inaitwa ‘Kidaruso’ humo ndani kaonekana Miss Tanzania 2014/2015

VideoMPYA: Juma Nature katoa video mpya inaitwa ‘Kidaruso’ humo ndani kaonekana Miss Tanzania 2014/2015

| No comment
Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii kamshirikisha Cannibal wa Kenya inaitwa ‘Kidaruso‘ ukishaitazama pia usiache kutoa comment yako ili akipita ajue mashabiki wake wanasemaje.