Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / VIDEO: Mdundo mwingine mkubwa kwenye TV za burudani duniani sasa hivi ‘work from home’ kwenye 15 bora

VIDEO: Mdundo mwingine mkubwa kwenye TV za burudani duniani sasa hivi ‘work from home’ kwenye 15 bora

| No comment
Kama unafatilia muziki wa kizazi cha sasa duniani unaweza kuwa umeshakutana nayo lakini kama hujakutana na hii, nakufahamisha wanaitwa Fifth Harmony na single wamemshirikisha Ty Dolla $ign na ni moja ya video zinazochezwa sana kwenye TV kubwa za burudani duniani, kabla ya hapo walipita sana kwenye masikio yetu na hit single ya ‘worth’ ft. Kid Ink.
Work from home ipo kwenye nafasi ya 12 kwenye chati kubwa ya Billboard ikiwa inaendelea kupanda huku nafasi ya kwanza ikiwa mikononi mwa work ya Rihanna

Video ya work from home imetazamwa zaidi ya mara milioni 100 kwenye YouTUBE toka iwekwe February 26 2016 na ‘work’ ya Rihanna iliyowekwa February 24 2016 imegonga zaidi ya milioni 180.