Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Sekunde 31 za kionjo cha video mpya ya Rihana atayoachia.. wimbo unaitwa ‘Kiss it Better’

Sekunde 31 za kionjo cha video mpya ya Rihana atayoachia.. wimbo unaitwa ‘Kiss it Better’

| No comment
Mwimbaji staa wa dunia Rihanna ‘RiRi’ amerudi kwenye macho ya dunia baada ya kuthibitisha kwamba single yake mpya ijayo inaitwa ‘Kiss It Better‘ na ameachia kipisi cha video ya hiyo single mpya kwenye hizi sekunde 31 hapa chini