Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / TUNDAMAN ATOBOA SIRI YA WASANII KULIPWA MKWANJA MDOGO KWENYE SHOW.

TUNDAMAN ATOBOA SIRI YA WASANII KULIPWA MKWANJA MDOGO KWENYE SHOW.

| No comment
Image result for tunda man 
Hit maker wa Mama Kijacho Tunda Man amesema muonekano wa msanii ndio sababu kubwa inayompelekea msanii  kulipwa kiasi kikubwa au kidogo na promota pindi anapofanya show.

Katika mahojiano yake maalum na East Afrika Radio Tunda amesema kutokana na hilo  inabidi msanii kujiweka vizuri kuanzia muonekano hadi mazingira yake ili kuepuka promota kumchukulia poa.

 

Amefafanua zaidi kuhusu suala hilo na kueleza kuwa mfano promota anakutana kwenye daladala na msanii lazima tu atamchukulia kawaida na kuhisi ni mtu wa kulipwa pesa kidogo kwahiyo mazingira ya msanii ni kila kitu kwenye biashara yake.