Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Stamina adai ameuza nakala 2000 albam ya "mt uluguru" ndan ya wiki mbili

Stamina adai ameuza nakala 2000 albam ya "mt uluguru" ndan ya wiki mbili

| No comment


Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Morogoro Stamina ambaye aliachia albamu yake mpya ‘Mt Uluguru’ wiki mbili zilizopita amedai tayari ameshauza zaidi ya nakala 2000 ndani ya wiki mbili.

Kupitia instagram, Stamina aliandika
Copy 2000 ndani ya wiki 3,,daaah sina cha kusema zaidi ya ahsante kwa wadau wote,mashabiki wote na media zote kwa support,mungu awe nanyi #aluta continua#

Stamina ndiye msanii pekee wa muziki wa Hip Hop Tanzania aliyefungua mwaka 2016 kwa kuachia albamu mpya.