Unajua ni kwanini msanii Mb Dog anajiita ‘Dog Man’ kupitia 255 ya clouds Fm anafunguka ‘Yaani mpaka kuniita Dog unajua waliamini mapafu yangu kabla ya kuniamini mimi walikua wanaamini kwanza nilikuwa napenda mbwa unajua ukipenda mbwa utakuwa unakimbia kama mbwa’
‘Kuna jamaa nilishamuibia mbwa akaniuliza nimemkamataje kwanza ilibidi nikamatwe nipigwe maana mbwa alitafutwa kama wiki’
Mchizi mox kafunguka kwanini baadhi ya ngoma za Wateule hawakuzipeleka kwenye vituo vya tv, kwanini ziliishia youtube ‘Unajua sisi pia tulikuwa tunafanya video ambazo tulikuwa hatuziachii kwenye vituo vya tv kwa mfano nyimbo kama bado yuko ‘Vilvile’ tuliifanya video South Africa lakini hatukuiachia kwenye tv station tuliiachia kwenye mitandao tukawa tumeridhika na hilo ngoma ina views wengi sana