Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Picha: Prezzo na Mr Blue waingia studio kuandaa wimbo mpya

Picha: Prezzo na Mr Blue waingia studio kuandaa wimbo mpya

| No comment
Picha: Prezzo na Mr Blue waingia studio kuandaa wimbo mpya
Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Prezzo ameingia studio na msanii wa muziki nchini Mr Blue ili kuandaa kazi mpya ya pamoja.

Rapa huyo ambaye hupo nchini kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki, ameingia na Mr Blue ndani ya studio ya THT kwa ajili ya kuandaa kazi hiyo.
Kupitia instagram, Prezzo ameandika.
We got another one with my likkle broda @mrbluebyser1988 coming soon……. #Rapclelency #TrulyUnruly #TheMakiniTeam.
Katika hatua nyingine, Prezzo ameonyesha nia ya kutaka kufanya kazi na mtayarishaji wa video za muziki nchini Hanscana baada ya kukutana nae na kufanya mazungumzo.
Kupitia instagram, Prezzo aliandika.
Last night tulikuwa na kikao na topic ilikuwa ni kwanini tusafiri nchi za nje kufanya video na huku tuna camera, talent, location na ma director wakali? Mbona hela ziende kwengine na zisibaki kwetu? Haya mtihani kwako