Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Mchekeshaji wa "Original Comedy" Emmanuel mgaya maarufu kwa jina la "Masanja mkandamizaji ashangaza waamini wake...

Mchekeshaji wa "Original Comedy" Emmanuel mgaya maarufu kwa jina la "Masanja mkandamizaji ashangaza waamini wake...

| No comment


Emmanuel Mgaya, maarufu kama "Masanja Mkandamizaji" aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la "Ze Comedy" kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji.

Katika moja ya Kazi yake hivi karibuni Masanja akiwa MC ktk tukio fulani alitoa mpya baada ya kuwashangaa waimbaji wa Kigali-Rwanda wa kwaya ya "AMBASSADOR OF CHRIST" ambao walipata ajali wakiwa wanatokea Tanzania.

Masanja anasema inakuwaje waliomba kifo kwa wimbo wao wa "KWETU PAZURI" lkn Mungu alipowachukuwa baadhi ya wenzao wale waliobaki wakaimba wimbo wa "KWANINI UMEYARUHUSU HAYA" yaani kwanini kawachukua wenzao?

Masanja anasema Kwanini washangae wakati wao ndio waliomba kwenda "kwao pazuri walipopakumbuka? Kwao hakuna malaria wala magonjwa".

Masanja anasema yeye hataki kabisa kwenda Mbinguni kwa sasa, bado yupo yupo