Moro Kitaa Blog
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
You are here:
Home
/
MUSIC NEWZ
Linex amchana AJ director nguli wa nyimbo Tanzania
Linex amchana AJ director nguli wa nyimbo Tanzania

LINEX AMCHANA ADAM JUMA LIVE...ASEMA HATAFANYA NAE TENA VIDEO YEYOTE...KWANI ALIMFANYIA VIDEO MBOVU YA SALIMA.
AKIONGEA NA TV YA CLOUD KATIKA KIPINDI CHA D'WIKEND CHATSHOW AMESEMA YEYE NDO MSANII ALIYE MLIPA PESA NYINGI KULIKO MSANII YEYOTE KIASI CHA TSH. MILION 5. LAKINI AKAMFANYIA VIDEO MBOVU KUPINDUKIA NA KASEMA ADAM KACHANGIA KWA KIASI FLAN KUMRUDISHA NYUMA