MICHEZO

Bado furaha ya watanzania kumuona Mbwana Samatta akicheza soka Ulaya ipo moyoni mwao, baada ya kumuona kwa mara ya kwanza akiichezea klabu yake ya KRC Genkkwa dakika 17 February 6 katika mchezo dhidi ya Mouscron FC, huku mchezo ukimalizika kwaKRC Genk kuibuka na ushindi wa goli
![]() |
Klabu ya KRC Genk inarudi jijini Genk kucheza mchezo wakewa Ligi katika uwanja wake wa nyumbani Cristal ArenaJumamosi ya February 13 kucheza mechi yao 26 ya Ligi dhidi yaBeveren W iliyopo nafasi ya 13 katika Ligi ikiwa na point 26 wakati KRC Genk ya Samatta ipo nafasi ya 5 ikiwa na point 38
on February 10, 2016