Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Kutoka Kampala, mshindi wa kura za Urais Uganda 2016 ametangazwa..

Kutoka Kampala, mshindi wa kura za Urais Uganda 2016 ametangazwa..

| No comment
Uganda ilikua kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais na Wabunge juzi ambapo matokeo ya awali yalianza kutolewa kuanzia jana lakini leo matokeo kamili yametolewa na Yoweri Museveniambaye amekuwepo kwenye kiti cha Urais toka mwaka 1986ametangazwa mshindi huku mpinzani wake mkuu ambaye ni Kizza Besigye akikataa matokeo hayo aliyoyaita ya wizi wa kura.
KTN 2
Museveni 2
Rais Museveni alipokutana na Viongozi waangalizi wa uchaguzi Mzee Obasanjo na Banda nyumbani kwa Rais eneo la Rwakitura