Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / Huyu ndio mtoto wa Sokwe aliyezaliwa kwa njia ya upasuaji

Huyu ndio mtoto wa Sokwe aliyezaliwa kwa njia ya upasuaji

| No comment

Professa David Cahill amezichukua Headline za Feb 23 baada ya kumzalisha Sokwe  kwa mara ya kwanza kwa njia ya upasuaji,  Sokwe huyo ambaye alihitaji msaada wa kupumua , ndipo alipofanyiwa upasuaji  katika hali isiyo ya kawaida.sokwe
mpaka sasa Mtoto wa Sokwe anaendelea vizuri baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida, Sokwe huyo  alizaliwa kwa njia ya upasuaji usio wa kawaida baada ya mama yake kuonyesha ishara ya ugonjwa hatari wa shindikizo la damu, Kumekuwa na sokwe wachache waliofanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua duniani. soo