Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / DAYNA NYANGE NA MAPENZI YA INSTAGRAM

DAYNA NYANGE NA MAPENZI YA INSTAGRAM

| No comment
Image result for dayna nyange 
Hitmaker wa Angejua Dayna Nyange anae uwakilisha vyema mkoa wa Morogoro kwa kuwa msichana pekee anaefanya vizuri kutokea mji kasoro bahari, amefunguka kuhusu mahusiano yake na kuyaelezea mapenzi ya mastaa mbalimbali kuwaweka wapenzi wao hasa kwenye mitandao ya kijamii. 

Katika mahojiano yake na kipindi cha The One Show cha TV1 mwanadada huyo ameeleza kuwa kwasasa hana mpenzi na hapendi kuyaweka mapenzi yake hadharani hasa kwenye mtandao wa Instagram kwani ikitokea kaachana na mpenzi wake na akaamua kudate na mwingine jamii itamchukulia kama muhuni tofauti na mtoto wa kiume akifanya hivyo.

 Image result for dayna nyange