By
RICH BOI
on
February 12, 2016
Ukiambiwa utaje wasanii ambao wanafanya vizuri time hii kwa Afrika jina la Davido halikosekani, ni staa ambaye kwa sasa anamiliki mdundo wake aliomshirikishaOlamide ‘The money‘.
Kwenye maswali ya mashabiki kwenye mtandao wake wa Twitter Davido aliulizwa anazo saa ngapi za mkononi? akajibu anazo mbili ambazo gharama yake inaweza kununua magari kama 20 hivi.