Mchekeshaji maarufu wa Orijino Comedy Silvester Mjuni alimaarufu kama MPOKI, amejiunga na team ya EFM Radio na kuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi cha UBAONI kinachoongozwa na Gardner G. Habash kwa kushirikiana na bikira wa kisukuma (Seth) kinacho kuwa hewani kila siku kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 1:00 jioni. Kushoto Mkurugenzi wa Efm Radio Francis Ciza akimkaribisha MPOKI kuungana na team ya EFM Radio.
Moro Kitaa Blog
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
.
Popular Posts
-
Tofauti na watu wengi wanavyodhani, kizunguzungu huwa ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu hakiko sawa, hivyo uchung...
