P Funky Majani naye alikuwepo uwanjani Jamhuri Morogoro wakati wa kuaga mwili wa ALBERT MANGWEA.
WEMA SEPETU akiwa na MANEKE producer wa AM record.
Wema akiwa na fans wake..
P N C alikuepo pia..
Baadhi ya wasanii wa Morogoro walishiriki kikamilifu.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Albert Mangwea
Hamis Mandi [BDozen] katika pilika za kusaka habari.
Belle 9 alijumuika na wasanii wenzake katika kumsindikiza msanii mwenzake Albert Mangwea