Jay-Z na Beyonce wameamua kudondoka Cuba kusherehekea miaka yao 5 tangu walipofunga ndoa yao.
katika kusherehekea miaka hiyo 5 inasemekana Jay na Bey wamesafiri na
familia yao wiki hii kuelekea Havana kwenye sherehe hiyo muhim
Rap-up.com wameripoti kuwa wawili hao wameungana na mama zao wote wawili
(Tina Knowles and Gloria Carter) kwenye safari hiyo na kutembelea
sehem mbali mbali katika mji huo wa kihistoria ikiwa ni pamoja na
Colonial Old HavanaBeyonce na Jay-Z walioana kisiri siri april 4 2008, kwenye sherehe zilizofanyika kwenye apartment ya Jay Z iliyoki New York, wageni waalikwa wakiwemo Chris Martin, Kelly Rowland, Gwyneth Paltrow, na Michelle William
source; djfetty.