Unakumbuka kuna story flani zilitoka kuwa mtu mzima Ali kiba soo atakuwa chini ya Sonny Music kama mwanadada Keko kutoka Uganda, sasa fununu nilizonazo ni kuwa jamaa kasha saini mkataba na Sonny.. na tayari kasha relese track yake mpya trust me kwa nilivyoisikiliza lazima ibambe.track inaitwa "my everything"
source; dj fetty