Followers

logo logo

SLIDE

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]
[4] [NEWZ] [slider-top] [Habari]
You are here: Home / A .Y ANYAKUA TUZO YA MOST GIFTED EAST AFRICAN VIDEO OF THE YEAR

A .Y ANYAKUA TUZO YA MOST GIFTED EAST AFRICAN VIDEO OF THE YEAR

| No comment

 




 

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama  A.Y leo huko nchini South African amejichukulia tuzo ya kwanza katika kipengele cha Most Gifted East African video of the Year na hii ndiyo list ambayo alikuwa akichuana nayo katika kuwania tuzo hizo
Most Gifted East African video of the Year

  • Keko Feat. Madtraxx – Make You Dance

  • Camp Mulla – Party Don’t Stop

  • AY feat Sauti Soul – I Don’t Want To Be Alone

  • K’Naan Feat. Nas – Nothing To lose

  • Navio – One & Only

.